Ecomaisha
EcoMaisha ni taasisi inayoshirikiana na jamii kutatua changamoto za kimazingira. Kuanzia kutoa elimu ya masuala mbalimbali ya muhimu ya mazingira kupitia tovuti yake pamoja na mitandao ya kijamii mpaka kufanya miradi ya kimazingira kwenye jamii. Lengo ni kuhakikisha kila mtu ana ufahamu wa kutosha kuhusu mazingira yanayomzunguka na namna mbalimbali anavyoweza kuyaathiri na yenyewe kuathiri maisha yake, hivyo, kwa kuthamini maisha, kutimiza wajibu wa kuyatunza kuyalinda makazi yetu pekee ya pamoja yaani Dunia. Kupitia miradi mbalimbali ya kimazingira tunashirikiana na jamii kuboresha mazingira ya asili na ya kutengenezwa na binadamu, kupambana na uharibifu uliofanywa ili kupunguza athari na kukomesha muendelezo wake. Kushirikiana na jamii na mamlaka za serikali na taasisi za kimataifa kuhakikisha dunia inakuwa mahali salama kwa viumbehai wote kwa ajili ya maisha endelevu kwa vizazi vyote, kwani tunatambua kuwa Maisha ni Mazingira. Kwa pamoja tunaweza kufikia malengo endelevu! Jihusishe kwa namna unayoweza!
7-day free trial · no credit card
Verified contacts
1
available on Kipplo
LinkedIn employees
1
1 to 10 range
Open roles
—
no listings
Distinct roles
1
indexed titles
Tech stack
0
tools in use
Monthly traffic
—
organic / mo
Sign up free to see all 1 verified contacts at Ecomaisha
Free for 7 days · 50 credits · no card · only pay for verified records.
Decision-makers and verified team members
1 contacts with verified email or phone · masked until revealed.
No verified contacts on record for this company yet.
Top roles at Ecomaisha
1 distinct titles indexed · top 1 shown.
- 1founder
Sign up to unlock all 1 contacts at Ecomaisha
Free for 7 days · 50 credits · no card · only pay for verified records.
Sign up to reveal 1 verified contacts at Ecomaisha
7-day trial · no credit card · cancel anytime · only pay for verified records.
Trusted by sales, marketing, and GTM engineering teams.