Watu Shule
Sisi ni timu ya watu wanaomini msemo wa "Elimu haikuanzia darasani, mama alianza kufundisha. Elimu haishii darasani, mtaa unaendelea kufundisha."- Rogers Katuma Watu wengi wamekosa fursa ya kuendelea kielimu kupitia mfumo wa kawaida wa elimu, kwenda shule, kufaulu na kupata cheti. Na watu wengi zaidi wanakosa fursa ya kujiendeleza kielimu baada ya sehemu waliyoishia shuleni kutokana na gharama, majukumu, muda na mfumo. Kiuhalisia mtaani kuna elimu, ujuzi na uwezo tofauti unaohitajika ili ufanikiwe hata kama hamna anayetoa cheti. Njia bora zaidi ya kujifunza ni kupitia ujuzi, elimu na uzoefu ambao umefanya kazi mtaani na kufikisha malengo ya watu. Na watu bora zaidi wa kufundisha ni wale ambao ujuzi, elimu na uzoefu wao mtaani umewafanya wafanikiwe. Sisi ni timu ya watu tunaotengeneza mazingira ya watu wenye ujuzi, elimu na uzoefu waliofanikiwa mtaani na kuifikisha kwa watu walioukuwa darasani na waliotoka darasani wakiwa kwenye safari yao ya mafanikio mtaani. Ndoto yetu ni kuhakikisha kila mwenye macho, masikio na simu apate ujuzi, elimu na uzoefu inayohitajika kufanikiwa mtaani."Elimu haikuanzia darasani, mama alianza kufundisha. Elimu haishii darasani, mtaa unaendelea kufundisha."- Rogers Katuma
7-day free trial · no credit card
Verified contacts
3
available on Kipplo
LinkedIn employees
2
1 to 10 range
Open roles
—
no listings
Distinct roles
3
indexed titles
Tech stack
0
tools in use
Monthly traffic
—
organic / mo
Sign up free to see all 3 verified contacts at Watu Shule
Free for 7 days · 50 credits · no card · only pay for verified records.
Decision-makers and verified team members
3 contacts with verified email or phone · masked until revealed.
No verified contacts on record for this company yet.
Top roles at Watu Shule
3 distinct titles indexed · top 3 shown.
- 1customer service representative
- 1deputy head
- 1founder
Sign up to unlock all 3 contacts at Watu Shule
Free for 7 days · 50 credits · no card · only pay for verified records.
Sign up to reveal 3 verified contacts at Watu Shule
7-day trial · no credit card · cancel anytime · only pay for verified records.
Trusted by sales, marketing, and GTM engineering teams.